Nenda kwa yaliyomo

Einsiedeln

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mandhari ya kijiji.

Einsiedeln ni kijiji cha Uswisi (Jimbo la Schwyz) maarufu kwa monasteri yake ya Kibenedikto.

Wakazi wake ni karibu 10,000.

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Einsiedeln kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.