Edwin Orion Brownell
Mandhari
Edwin Orion Brownell (alizaliwa Ottawa, Ontario, 30 Novemba 1964) ni mwanamuziki na mwandishi kutoka Kanada. Yeye ni mtunzi wa Neoclassicism (music)|neo-classical na mpiga kinanda wa tamasha, ambaye muziki wake wa asili umeelezewa kuwa na melody ya hali ya juu; ukionyesha ushawishi wa blues ya kubuni juu ya msingi wa muziki wa asili ya classical.[1][2] [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Evolution of Musical Eclecticism". The Suburban.
- ↑ "Brownell Back with Bedouins". NGD Free Press.
- ↑ "The Montreal Gazette, Nov 28, 2008". The Montreal Gazette. Iliwekwa mnamo 2010-05-14.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edwin Orion Brownell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |