Edward Moss

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edward Moss
Amezaliwa 11 Julai 1977 (1977-07-11) (umri 46)
Los Angeles, California U.S.

Edward Moss (amezaliwa tar. 11 Julai 1977) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuigiza na kucheza kama hayati Michael Jackson kwenye filamu na vipindi vya TV.[1][2] Awali alikuwa anafanya katika kampuni ya McDonald's mwanzoni mwa miaka ya 1990, ambapo wafanyakazi wenzake walikuwa wakimwambia kama anafanana sana na mwimbaji Michael Jackson; hivyo basi Moss akaingia katika shindano la kutafuta watu wenye vipaji na kubahatika kushinda, na kadiri muda unavyokwenda, ameamua kujitafutia riziki yake kwa kujifanya kama Jackson.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Jackson lookalike gets into character. bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 2008-09-11.
  2. The moonwalk, and lots of makeup. International Herald Tribune (2005-03-03). Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-09-15. Iliwekwa mnamo 2008-09-10.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Moss kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.