Nenda kwa yaliyomo

Edward Joseph Dunne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edward Joseph Dunne (23 Aprili 1848 – 5 Agosti 1910) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki mzaliwa wa Eire. Alihudumu kama Askofu wa Dallas kutoka 1894 hadi kifo chake mnamo 1910. [1][2]

  1. "DUNNE, EDWARD JOSEPH (1848-1910)". Handbook of Texas Online.
  2. "Dallas". Catholic Encyclopedia.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.