Edward Kendall
Mandhari
(Elekezwa kutoka Edward Calvin Kendall)
Edward Calvin Kendall (8 Machi 1886 – 4 Mei 1972) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza homoni katika gamba la tezi adrenali. Mwaka wa 1950, pamoja na Philip Hench na Tadeus Reichstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- wasifu ya Edward Calvin Kendall Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Kendall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |