Eddy Bee

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Eddy Besong, anafahimika kwa jina la Eddy Bee akiwa jukwaani, ni mwanamuziki wa Afrobeat na RNB' wa Kameruni.[1] Amekuwa kwenye muziki tokea mwaka 2009, akiachia kandamseto mwaka 2020 kama sehemu ya kikundi cha Avinu C akiwa na Naomi Achu na H Bolo. Eddy Bee aliachia albamu yake ya kwanza iitwayo The Eddy Bee Show Novemba 2018.


Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 237showbiz.com.
  2. youtube.
  3. cdbaby.com.
  4. youtube.
  5. auletch.com.
  6. youtube.
  7. bamendaonline.net. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-07-08. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
  8. africanmuzikmag.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-01-25. Iliwekwa mnamo 2022-04-23.
  9. dailymotion.com.