Nenda kwa yaliyomo

Edan Diop

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Edan Diop (alizaliwa 28 Agosti 2004)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya AS Monaco.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Lisez encore. "Monaco : Qui est Edan Diop, milieu de terrain des U19 ?". Exclusif.net, la vérité (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edan Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.