Nenda kwa yaliyomo

Ecologically Critical Area

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ecologically Critical Area (ECA) ni ukanda wa utunzaji wa mazingira uliopo Bangladesh. Mnamo mwaka 1995, baadhi ya maeneo ya Bangladesh yalifanywa kuwa Ecologically Critical Areas kama matokeo matokeo ya Sheria ya Utunzaji wa Mazingira.[1]

  1. https://whitleyaward.org/winners/sundarban-ecologically-critical-area-bangladesh/