Ebenezer Obey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ebenezer Obey alikuwa mwanamuziki wa Nigeria. Jina lake la kuzaliwa ni Ebenezer Remilekun Aremu Olasupo Fabiyi. Alizaliwa 1942 huko Ogun State. Alikuwa anapiga muziki wa Juju na Highlife.

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ebenezer Obey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.