E. Anne Schwerdtfeger
Mandhari
Elizabeth Anne Schwerdtfeger (1 Februari 1930 – 11 Septemba 2008) alikuwa mtunzi wa Marekani, mkurugenzi wa kwaya, mualimu, na mtaalamu wa Fulbright ambaye alitumia miaka kadhaa kama mtawa wa Kidominiko na alijulikana kama Sister Mary Ernest O.P. (Ordo Praedicatorum).
Alijulikana kitaaluma kama E. Anne Schwerdtfeger.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hixon, Donald L. (1993). Women in music : an encyclopedic biobibliography. Don A. Hennessee (tol. la 2nd). Metuchen, N.J.: Scarecrow Press. ISBN 0-8108-2769-7. OCLC 28889156.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu E. Anne Schwerdtfeger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |