Dwayne Johnson
Dwayne Douglas Johnson (pia anajulikana kwa jina la The Rock; alizaliwa 2 Mei 1972) ni mwigizaji wa Marekani, mtayarishaji wa vipindi, na mwanamieleka wa kulipwa aliyestaafu.
![]() |
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dwayne Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |