Nenda kwa yaliyomo

Durango, Durango

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mji wa Durango, DurangoJiji la Durango
Nchi Mexiko
Jimbo Durango
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 436,830
Tovuti:  www.unidosporti.gob.mx

Durango (jina rasmi: Victoria de Durango) ni mji mkuu na pia mji mkubwa katika jimbo la Durango. Mji upo m 1890 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1560.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 463,830 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 10,041 km².

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Durango, Durango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.