Drew Spence

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Spence mnamo 2022

Drew Spence (alizaliwa 23 Oktoba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Drew Spence completes move". Tottenham Hotspur (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-28. 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Drew Spence kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.