Douglas Blackburn

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Douglas Blackburn (6 Agosti 1857 - 1929) alikuwa mwandishi kutoka Uingereza aliyefanya kazi 1892-1908 kama mwandishi wa habari mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Pia aliandika riwaya dhidi ya ubeberu.

Orodha ya riwaya zake[hariri | hariri chanzo]

  • Prinsloo of Prinsloosdorp (1899)
  • Kruger's Secret Service (1900)
  • A Burgher Quixote (1903)
  • Richard Hartley, Inspector (1905)
  • I Came and Saw (1908)
  • Leaven: A Black and White Story (1908)
  • Love Muti (1915)

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Douglas Blackburn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.