Dorothy Hodgkin
Mandhari
Dorothy Mary Crowfoot Hodgkin (12 Mei 1910 – 29 Julai 1994) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza mfumo wa misombo mbalimbali, kwa mfano vitamini B12. Mwaka wa 1964 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dorothy Hodgkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |