Djeneba Seck

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Djeneba Seck (alizaliwa, 1970) ni mwimbaji na mwigizaji wa Kiafrika aliyezaliwa huko Bamako, (Mali).

Asili ya familia yake iko Kita, [1] mji maarufu kwa muziki wake. Mnamo 1986 alikutana na Sekou Kouyate ambae alimchukua kama mwimbaji msaidizi wa bendi yake. Walikuwa na wimbo maarufu uitwao "N'Kadignon Ye". [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Koné, Assane (23 May 2008). "Djeneba Seck : "Philosophe" et prêcheuse de la musique" (kwa French). afribone. Iliwekwa mnamo 14 February 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Djeneba Seck". allmusic.com. Iliwekwa mnamo 14 February 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Djeneba Seck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.