Dipo Doherty
Mandhari
Dipo Doherty (alizaliwa 1991) ni mchoraji kutoka Nigeria. [1][2]
Elimu na taaluma
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa mwaka 1991, Dipo ana shahada ya kwanza ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Virginia.[3] Alikamilisha shahada yake ya uzamili katika fani ya Ubunifu na Usimamizi Shirikishi kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Massachusetts.[4] Kazi yake inalenga zaidi katika jiometri ya nafasi.[5]
Tuzo na maonyesho
[hariri | hariri chanzo]Aliteuliwa kama mmoja wa washiriki wa maonyesho ya ART X Lagos mwaka 2017.[6][7][8] Kazi zake zilikuwa miongoni mwa kazi za sanaa zilizotolewa katika mnada wa hisani wa Arthouse Affordable Art Auction mjini Lagos.[9] Alichaguliwa kuwania tuzo katika kipengele cha Sanaa za Kuona kwenye Tuzo za The Future Awards Africa mwaka 2019.[10][11][12]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Young Contemporaries - Rele Arts Foundation". Google Arts & Culture (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ "A Nasty Boy Magazine's 'Creative Class of 2018' Highlights 40 African Creatives Who Are Disrupting the Status Quo". OkayAfrica (kwa Kiingereza). 2017-10-16. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-21. Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ "Exhibitions Archives". Nike Art Gallery, Lagos >> West Africa's Largest Collection of Traditional & Contemporary Arts. (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Julai 2022. Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dipo Doherty Artwork for Sale at Online Auction | Dipo Doherty Biography & Info". invaluable.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ "Artists". arthouse-foundation (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ BellaNaija.com (2017-09-27). "13 International Art Galleries, 60+ Artists from across Africa & the Diaspora! ART X Lagos announces Exhibitors, Artists & Sponsors for its 2017 Edition". BellaNaija (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ Sponsor (2017-09-30). "Art X Lagos announces participating exhibitors, artistes, and more for its 2017 edition » YNaija". YNaija (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ Omoruyi, Omoleye (2017-11-03). "Nigeria, Africa and beyond: What to expect at this year's clime-changing Art X Lagos » YNaija". YNaija (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
- ↑ "Third affordable auction records 62 per cent". guardian.ng. 25 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 2020-09-05.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "FULL LIST: Burna Boy, Timi Egbuson, Tolani Alli, Others Win Big At Future Africa Award". Channels Television. Iliwekwa mnamo 2020-09-06.
- ↑ Editor, Op-Ed (2019-11-25). "The Future Awards Africa 2019: Check out full list of winners » YNaija". YNaija (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-09-06.
{{cite web}}:|last=has generic name (help) - ↑ "New dawn at work for arthouse artists" (kwa American English). 23 Aprili 2017. Iliwekwa mnamo 2020-09-06.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dipo Doherty kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |