Diogo Piçarra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diogo Piçarra mnamo 2018
Diogo Piçarra mnamo 2018

Diogo Piçarra (amezaliwa 19 Oktoba 1990) ni mwimbaji wa Ureno. Alishinda msimu wa tano wa toleo la Kireno la Pop Idol mnamo 2012.

Diogo Piçarra alizaliwa huko Faro . Akiwa na umri wa miaka 17, alianzisha bendi ya "Fora da Bóia". Alipokuwa akisoma katika Chuo Kikuu cha Algarve, muhula uliofwata alienda nje ya nchi ili kuendelea na masomo yake katika Chuo Kikuu cha Palacký huko Jamhuri ya Cheki. [1]

Alitoa albamu yake ya kwanza, Espelho, mnamo Machi 2015, [2] akishirikiana na wasanii kama vile Valas kwenye "Ponto de Partida" na April Ivy kwenye "Não Sou Eu".

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "V centru pozornosti: Evropské státy na společné cestě – Erasmus+ – European Commission". Erasmus+ (kwa Kicheki). Iliwekwa mnamo 15 April 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "do=s: Diogo Piçarra vai lançar novo álbum", Sábado. (pt-pt) 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diogo Piçarra kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.