Nenda kwa yaliyomo

Dimitri Kongbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dimitri Alexandre Nils Kongbo (alizaliwa 8 Oktoba, 1987) amezaliwa Ufaransa, mwenye asili ya Jamhuri ya Afrika ya Kati[1] na mchezaji mpira wa kikapu ambaye mara ya mwisho alichezea Union des Clubs Anneciens ya Nationale Masculine 2 (NM2) nchini Ufaransa.

Wasifu kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Kongbo alicheza timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati katika atua za kufuzu AfroBasket mwaka 2015. Mnamo Juni 26, 2015, aliteuliwa kwenye kikosi cha awali katika timu kwa hafla rasmi na kocha mkuu Aubin-Thierry Goporo.

  1. "Dimitri Kongbo - Net Worth, Age, Height, Bio, Birthday, Wiki!" (kwa American English). 2021-07-04. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-02. Iliwekwa mnamo 2022-09-02. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)