Nenda kwa yaliyomo

Dieudonné Kalulika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dieudonné Kalulika (alizaliwa Oktoba 1, 1981) ni mchezaji wa soka wa zamani kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye alicheza mwisho kwa timu ya C.S. Visé.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dieudonné Kalulika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.