Diego da Silva

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diego Da Silva

Diego Da Silva (amezaliwa Foz do Iguaçu, Paraná, 24 Januari 1985) ni mchezaji mahiri wa timu ya taifa ya Brazili.

Alianza kuchezea timu ya Minas Gerais na baadae akauzwa katika timu ya Campeonato Mineiro mnamo mwaka 2005.

Mwaka 2006 alicheza katika mashindano ya Copa do Brasil. Hadi mwaka 2006 alimaliza akiichezea Flamengo.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego da Silva kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.