Diego Godin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diego Godin akiwa na timu yake ya taifa ya Uruguay

Diego Roberto Godín (alizaliwa 16 Februari 1986) ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anachezea katika klabu ya Hispania Atlético Madrid na timu ya taifa ya Uruguay kama mlinzi/beki wa kati. Godin anaonekana kuwa mmoja wa mabeki bora wa kizazi chake Ulimwengini.

Alianza kucheza mpira nchini Hispania akiwa na umri wa miaka 21, aliiwakilisha Villarreal na Atlético Madrid na kushinda ligi.Godin ameiwakilisha Uruguay kimataifa tangu mwaka 2005, Godín amecheza Kombe la Dunia mara nne na mashindano manne ya Copa América.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diego Godin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.