Nenda kwa yaliyomo

Diane Rwigara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Diane Rwigara mwaka 2018

Diane Shima Rwigara ni mfanyabiashara na mhasibu wa Rwanda ambaye alishiriki kama mgombea huru katika uchaguzi wa urais wa Rwanda mwaka 2017.

Rwigara alishtakiwa tarehe 23 Septemba 2017, pamoja na mama yake na wengine wanne, kwa "kichocheo cha uasi" miongoni mwa mashtaka mengine,[1] lakini aliachiliwa huru pamoja na mama yake tarehe 6 Desemba 2018.[2][3]

Mnamo Juni 7, 2024, Tume ya Kitaifa ya Uchaguzi (NEC) ilikataa kugombea kwa Diane Rwigara kwa uchaguzi wa urais wa 2024.[4]

  1. https://www.amnesty.org/en/latest/news/2018/05/rwanda-fair-trial-must-be-guaranteed-for-former-presidential-hopeful/
  2. Diane Rwigara: Rwanda government critic acquitted (kwa Kiingereza (Uingereza)), 2018-12-06, iliwekwa mnamo 2024-04-30
  3. Press, The Associated (2018-12-06), "Rwandan Court Drops Charges Against High-Profile Opposition Figure", The New York Times (kwa American English), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2024-04-30
  4. France Press, Agence (2024-06-07), "Rwanda opposition leader barred from standing against president", The Guardian (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2024-06-07
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diane Rwigara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.