DeviantArt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
DeviantArt

DeviantArt ni jumuiya ya sanaa mtandaoni.

Makao makuu yako Hollywood huko mjini Los Angeles, California.[1] Mnamo mwaka wa 2008, DeviantArt ilikuwa na wageni milioni 36.[2] Mnamo mwaka wa 2010, DeviantArt ilikuwa na wapendwa milioni 1.4 na maoni milioni 1.5. Mnamo mwaka wa 2011, DeviantArt ilikuwa mtandao wa kijamii wa kumi na tatu kwa ukubwa.[3] Mnamo mwaka wa 2017, DeviantArt ilikuwa na wanachama zaidi ya milioni 25 na faili zaidi ya milioni 250.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "DeviantArt, Inc." (Kiingereza) Businessweek Investing. Accessed November 9, 2008.
  2. "DeviantArt attracts almost 40m visitors online yearly" (kwa Kiingereza). Siteanalytics.compete.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo November 10, 2011. Iliwekwa mnamo September 9, 2011.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. Matt Rosoff (July 27, 2011). "These 19 Social Networks Are Bigger Than Google+" (kwa Kiingereza). Businessinsider.com. Iliwekwa mnamo September 9, 2011.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "DeviantArt - Career Page". deviantart.jobs (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo October 26, 2020. Iliwekwa mnamo September 9, 2020.  Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]