Descendants of the Sun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Descendants of the Sun (kwa Kikorea: 태양의 후예; RR: Taeyang-ui Huye) ni safu ya runinga ya Korea Kusini iliyoigizwa na Song Joong-ki, Song Hye-kyo, Jin Goo, na Kim Ji-won.

Ilirushwa hewani na KBS2 kutoka Februari 24 hadi Aprili 14, 2016 kwa vipindi 16.

Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Descendants of the Sun kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.