Dermot Farrell
Mandhari
Dermot Pius Farrell KC*HS (amezaliwa Garthy, Castletown Geoghegan, County Westmeath, 22 Novemba 1954) ni kiongozi Mkatoliki kutoka Eire ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Dublin tangu 2021.
Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Farrell ni mtoto mkubwa kati ya watoto saba kwa Dermot na Carmel Farrell. Alibatizwa katika Kanisa Kuu la Kristo Mfalme, Mullingar, na alihudhuria shule ya msingi huko Castletown Geoghegan na Streamstown na shule ya upili katika Chuo cha St Finian, Mullingar.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Biography of Archbishop Dermot Farrell". Archdiocese of Dublin (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-29.
- ↑ "Pope Francis appoints Monsignor Dermot Farrell as Bishop of Ossory". Irish Catholic Bishops' Conference. 3 Januari 2018. Iliwekwa mnamo 2022-10-29.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |