Nenda kwa yaliyomo

Denise Richards

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Denise Richards, 2011

Denise Lee Richards (amezaliwa tar. 17 Februari 1971) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kushiriki katika filamu nyingi na kuonyesha urembo wake, filamu hizo ni kama vile Starship Troopers, Wild Things na The World Is Not Enough ya James (Pierce Brosnan ).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denise Richards kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.