Denis Iguma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Denis Iguma (alizaliwa 10 Februari 1994) ni mchezaji wa soka wa Uganda, ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Azam F.C. na timu ya taifa ya Uganda.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Mnamo Januari 2014, kocha Milutin Sedrojevic, alimtaka awe sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Uganda kwa ajili ya michuano ya Afrika mwaka 2014. Timu hiyo ilikuwa katika nafasi ya tatu katika hatua ya makundi ya ushindani baada ya kumfunga Burkina Faso na Zimbabwe na baadaye kupoteza mechi dhidi ya Morocco

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Denis Iguma kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.