Demi Stokes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stokes akiwa na Manchester City mnamo 2017

Demi Lee Courtney Stokes (alizaliwa 12 Desemba 1991)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Demi Stokes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.