Demi Lovato

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Demi Lovato
Demi Lovato mnamo Septemba 2016
Demi Lovato mnamo Septemba 2016
Jina la kuzaliwa Demetria Devonne "Demi" Lovato
Alizaliwa 20 Agosti 1992 (1992-08-20) (umri 31)
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 2002 -
Tovuti Rasmi demilovato.com

Demetria Devonne "Demi" Lovato (alizaliwa 20 Agosti 1992) ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa kike wa nchini Marekani. Alianza kuigiza filamu akiwa na umri wa miaka kumi tu. Baadaye akaanza kuimba pia katika bendi, na kutoa albamu kama Don't Forget, Here we go Again na Unbroken.

Filamu Alizoigiza[hariri | hariri chanzo]

Filamu
Mwaka Filamu Kama Maelezo
2002–2004 Barney & Friends Angela
2006 Prison Break Danielle Curtin
2007–2008 As the Bell Rings Charlotte Adams
2007 Just Jordan Nicole Kipindi: "Slippery When Wet"
2008 Camp Rock Mitchie Torres
2009–2011 Sonny with a Chance Allison "Sonny" Munroe


Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Demi Lovato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.