Demi-Leigh Nel-Peters

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Demi-Leigh Nel-Peters (alizaliwa 28 Juni 1995) ni mwanamitindo na malkia wa urembo kutoka Afrika Kusini, mshindi wa shindano la Urembo nchini Afrika Kusini mwaka 2017 na mashindano ya urembo ya Dunia ya mwaka 2017.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Demi-Leigh Nel-Peters kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.