Deianira
Mandhari
Deianira ni kifupisho cha majina ya wahusika watatu kinachomaanisha "mwangamizaji"[1]. [2][3]
- Deianira, binti Likaoni, mwana wa Aezeius, mmoja wa wafalme wa kwanza wa Peloponnesus. Aliolewa na Pelasgus, mwana wa Niobe na Zeu na, kulingana na wengine, akawa mama wa Likaoni mwovu.[4].
- Deianira, binti Oeneus wa Calydon na mke wa Heracles.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ P. Walcot, "Greek Attitudes towards Women: The Mythological Evidence" Rome, 2nd Series, 31:1:43 (April 1984); at JSTOR
- ↑ Koine. Y. (editor in chief), Kenkyusha's New English-Japanese Dictionary, 5th ed., Kenkyusha, 1980, p.551.
- ↑ Antoninus Liberalis, sv. Deianira with Notes and Commentary on Meleagrides p.111
- ↑ Dionysius of Halicarnassus, Antiquitates Romanae 1.11.2 & 1.13.1; Greek Papyri III No. 140b
- ↑ Hesiod, Ehoiai fr. 25
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Deianira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |