Nenda kwa yaliyomo

David Denis (mjasiriamali)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

David Denis (alizaliwa mwaka 1998) ni kijana mjasiriamali nchini Tanzania aliyechaguliwa kuingia katika tuzo za vijana wajasiriamali za Anzisha Prize [1], tuzo ambazo ziliwakutanisha vijana wa Kiafrika kutoka katika nchi mbalimbali kama Tanzania, Madagaska, Ghana na baadhi ya nchi nyingine.

David ni mjasiriamali anayetumia ubunifu wa kubadilisha takataka kuwa katika matumizi mengine.

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25.