Nenda kwa yaliyomo

Darkovibes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanamuziki Darkovibes

Paul Nii Amu Andrew Darko (alizaliwa 1995) [1] anajulikana kama Darkovibes, ni mwimbaji wa nchini Ghana na mtunzi wa nyimbo. Muziki wake unaainishwa kama ni uchunguzi wa music ambapo ni mchanganyiko wa highlife, hip hop na rap . [2] Darkovibes anajulikana zaidi kwa wimbo wake wa 2016 'Mercy'.

Maisha ya awali na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Alipata kutambuliwa kama mteuliwa katika kitengo cha wimbo bora wa hip hop katika tuzo za muziki za Ghana 2017 (Ghana Music Awards 2017) kupitia wimbo wa 'Egboame' ambao ni Remix aliomshirikisha Edem. [3] [4]

  1. "Bio: Darko Vibes - Kuulpeeps - Ghana Campus News and Lifestyle Site by Students". Kuulpeeps. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-10. Iliwekwa mnamo 2020-02-18.
  2. "Darkovibes announces media tour". Retrieved on 2018-03-12. 
  3. "Nominees for 2017 VGMAs named [Full list - Ghana News]". (en-US) 
  4. "Full List of Nominees for Vodafone Ghana Music Awards 2017". Retrieved on 2022-04-24. (en) Archived from the original on 2018-06-15. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darkovibes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.