Danny Welbeck
Mandhari
Daniel Nii Tackie Mensah Welbeck (alizaliwa tarehe 26 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Profile at Arsenal.com
- Profile at TheFA.com
- Danny Welbeck career stats kwenye Soccerbase
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Danny Welbeck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |