Daniel Bellemare
Mandhari
Daniel Bellemare (alizaliwa 1952)[1] ni muendesha mashtaka wa Kanada. Baada ya kufanya kazi mda mrefu kwenye mfumo wa Mahakama wa nchini Kanada alichaguliwa kama muendesha mashtaka katika United Nations Special Tribunal for Lebanon hadi 2012.[2]
Alishawahi kufanya kazi katika sehemu mbalimbali kwenye Serikali ya Kanada kama Mwanasheria mkuu msaidizi pamoja na mshauri wa Naibu waziri wa Sheria na Haki Kanada.[3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Secretary-general names Canada's Daniel Bellemare commissioner of international independent commission, prosecutor of Special Tribunal for Lebanon". United Nations Secretary General. Iliwekwa mnamo 4 Januari 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Ayed, Nahlah. "Will the Canadian get his man?", CBC News, 2 February 2009. Retrieved on 4 January 2011.
- ↑ "Daniel A. Bellemare - Biography". Special Tribunal for Lebanon (U.N.). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-26. Iliwekwa mnamo 2011-01-04.
- ↑ Potter, Mitch. "UN had evidence linking Hezbollah to murder of Lebanese PM: CBC", Toronto Star, Nov 21, 2010. Retrieved on 2010-12-12.