Dang'a

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dang'a (pia: kiamo, tamari) ni maziwa ya kwanza ya binadamu na mnyama baada ya kuzaa. Aina nyingi za wanyama zinazalisha dang'a kabla ya kuzaa.

Dang'a ina kinga ya kulinda mtoto mchanga dhidi ya magonjwa.

Kwa ujumla, mkusanyiko wa protini kwenye dang'a ni mkubwa zaidi kuzidi kwenye maziwa ya kawaida. Mkusanyiko wa mafuta upo juu zaidi kwenye dang'a kuliko kwenye maziwa kwa aina nyingine ya wanyama, k.m. kondoo na farasi.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dang'a kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.