Dan Kwasi Abodakpi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dan Kwasi Abodakpi (alizaliwa 27 Februari 1950) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa Bunge la Nne la Jamhuri ya Nne ya Ghana anayewakilisha eneo bunge la Keta Mkoa wa Volta . [1]

Alikuwa Waziri wa zamani wa Biashara na Viwanda. [2]

Maisha ya mapema na elimu[hariri | hariri chanzo]

Abodakpi alizaliwa katika Keta katika mkoa wa Volta Ghana tarehe 27 Februari 1950. Alihudhuria Chuo Kikuu cha Pennsylvania na kupata Shahada ya UDaktari wa Falsafa..[1]

Pia alihudhuria Chuo Kikuu cha Ghana na kupata Shahada yake ya Sayansi . [1]

Kazi[hariri | hariri chanzo]

Abodakpi kitaaluma ni mhandisi wa kemikali na alikuwa mbunge wa Bunge la Nne la Jamhuri ya Nne ya Ghana kwa Jimbo la Keta kuanzia 1997 hadi 2009. [1]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Abodakpi ni Mkristo. [3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 1.2 1.3 Ghana Parliamentary Register(2004–2008)
  2. Abodakpi Jailed For 10 years (en). www.ghanaweb.com (5 February 2007). Iliwekwa mnamo 4 August 2020.
  3. FM. Ghana Election 2000 Results - Volta Region. Ghana Elections - Peace FM. Iliwekwa mnamo 2020-09-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dan Kwasi Abodakpi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.