Dan Bigras
Mandhari
Dan Bigras (alizaliwa 23 Desemba, 1957) ni mwimbaji wa rock music na muigizaji kutoka Kanada anayeongea Kifaransa. Ametoa albamu kadhaa za muziki wa rock, akianza na Ange Animal mwaka 1990.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Photos souvenirs: Dan Bigras". Le Journal de Montreal. Agnès Gaudet, 10 août 2019
- ↑ "Misic Notes". Lethbridge Herald via Newspaper Archives, 21 May 1992 - Page 42
- ↑ " Dan Bigras". AllMusic biography by Jason Birchmeier
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dan Bigras kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |