Dai Qing

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Dai Qing

Dai Qing (amezaliwa Agosti 1941 huko Chongqing)[1] ni mwandishi wa habari, mwanamazingira na mwanaharakati wa masuala yanayohusiana na Uchina; kwa kiasi kikubwa dhidi ya mradi wa bwawa la Three Gorges Dam.[2]

Dai pia ni mwandishi ambaye amechapisha vitabu, nakala na majarida mengi yenye ushawishi.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dai Qing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.