Da Joint

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
“Da Joint”
“Da Joint” cover
Single ya {{{Msanii}}}
kutoka katika albamu ya Back in Business
B-side "You Gots 2 Chill '97"
Imetolewa 9 Septemba 1997
Muundo 12-inch, Cassette, CD
Imerekodiwa 1997
Aina Hip hop
Urefu 3:27
Studio Def Jam
Mtunzi Erick Sermon, Rockwilder
Mtayarishaji EPMD
Mwenendo wa single za {{{Msanii}}}
"Head Banger"
(1992)
"Da Joint"
(1997)
"Richter Scale"
(1997)

"Da Joint" (wakati mwingine huandikwa "The Joint") ilikuwa single ya kwanza kutoka katika albamu ya EPMD, Back in Business. Wimbo umetayarishwa na Erick Sermon na Rockwilder, "Da Joint" umekuwa wimbo wa pili na wa mwisho kwa EPMD kuingia kwenye chati za Billboard Hot 100, kwa kushika nafasi ya 94. "Da Joint" ulitolewa wiki moja kabla ya albamu ya Back in Business, inaifanya kuwa toleo la kwanza jipya tangu kuunda upya kwa kundi la EPMD tangu single ya mwisho ya kundi mnamo 1992, "Head Banger".

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Da Joint" (Radio Edit)- 3:26
  2. "Da Joint" (LP Version)- 3:27
  3. "Da Joint" (Instrumental)- 3:26
  4. "You Gots 2 Chill '97" (Radio Edit)- 3:27

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati Nafasi
Billboard Hot 100 # 94
U.S. R&B / Hip-Hop # 45
Hot Rap Singles # 17
Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales # 5