DCC Mlimani Park Orchestra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
DCC Mlimani Park Orchestra
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Dans
Miaka ya kazi 1978 - hadi leo
Wanachama wa sasa
Hassan Bitchuka
Wanachama wa zamani
Muhiddin Maalim Gurumo
Abel Balthazar

DCC Mlimani Park Orchestra (au Mlimani Park) ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi Ilianzishwa mnamo mwaka wa 1978. Mwanzilishi wa bendi hiyo ni Bw. Muhiddin Maalim Gurumo, Abdallah gama na Abel Balthazar. Hassan Bichuka na Suleiman Mwanyiro waliingia 1982 kutokea Juwata jazz Mtindo maarufu wa bendi ya DDC ni sikinde ngoma ya ukae.

Wanachama kadhaa[hariri | hariri chanzo]

Albamu kadhaa[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DCC Mlimani Park Orchestra kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.