D-Black

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
D-Black
Picha Ya DBlack Kwenye Tuzo Za Muziki
Picha Ya DBlack Kwenye Tuzo Za Muziki
Alizaliwa Januari 12 1987
Nchi Ghana
Kazi yake Msanii

Desmond Kwesi Blackmore (alizaliwa Januari 12, 1987), anayejulikana kwa jina lake la kisanii D-Black, ni mwanamuziki wa hip-hop na Afrobeat na mjasiriamali kutoka Ghana. [1] Amefafanuliwa kama Mwanamuziki aliyefanikiwa kwa burudani" [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Who Is Desmond Kwesi Blackmore? –News Ghana". Newsghana.com.gh. 18 October 2015. Iliwekwa mnamo 18 October 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "The Creative in the Numbers Game". 21 June 2019.  Check date values in: |date= (help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu D-Black kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.