Cyril Baselios
Mandhari
Moran Mor Cyril Baselios Catholicos (16 Agosti 1935 – 18 Januari 2007) alikuwa Askofu Mkuu wa kwanza wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara.
Aliteuliwa kuwa Askofu mkuu kabisa na Papa Yohane Paulo II mwaka 1995.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "His Beatitude Moran Mor Cyril Baselios Catholicos". Catholic Diocese of Bathery. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Julai 2013. Iliwekwa mnamo 15 Februari 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |