Cotopaxi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Cotopaxi ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Urefu wake ni mita 5,897 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]