Corrine sparks

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Corrine Sparks ni jaji wa Kanada.Alikuwa mwanamke mweusi wa kwanza kuwa jaji nchini Kanada ,na pia alikuwa jaji wa kwanza mweusi katika jimbo la Nova Scotia.[1] Maamuzi yake katika kesi ya R.v.S (RD)ambayo ilibatilishwa kwa njia ya utatanishi baada ya kukata rufaa,baadaye ilikubaliwa na mahakama kuu ya Kanada katika uamuzi mkuu uliohofia kupendelea upande wowote.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tattrie, Jon. "How a 'national crisis' showed the value of black judges", CBC, 5 February 2017. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corrine sparks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.