Coreca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Coreca wa 2017.

Coreca ni kitongoji cha Amantea, Wilaya ya Cosenza, Italia ya kusini. Takriban wakazi 700 wanaishi huko, karibu na Campora San Giovanni.