Nenda kwa yaliyomo

Corbin Bleu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Corbin Bleu
Corbin Bleu kwenye Red Carpet, mnamo Juni 2011
Corbin Bleu kwenye Red Carpet, mnamo Juni 2011
Jina la kuzaliwa Corbin Bleu Reivers
Alizaliwa 21 Februari 1989
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1996 -
Tovuti Rasmi corbinbleu.com

Corbin Bleu Reivers (anajulikana hasa kama Corbin Bleu; alizaliwa mnamo 21 Februari 1989) ni mwigizaji, mwanamitindo, mcheza ngoma, na mwimbaji kutoka Marekani.

Mwaka Filamu Kama
2006 High School Musical Chad Danforth
2007 Jump In! Isadore "Izzy" Daniels
2007 High School Musical 2 Chad Danforth
2007 Mother Goose Parade Grand Marshall
2010 Flight 29 Down: The Hotel Tango Nathan McHugh

Tamthilia

[hariri | hariri chanzo]
Mwaka Tamthilia Kama Maelezo
1996 High Incident
1996 ER Kijana mdogo Kipindi 1
1998 Malcolm & Eddie Matthew Kipindi 1
2000 Cover Me: Based on the True Life of an FBI Family Nick Elderby Kipindi 1
2001–2002 The Amanda Show Russel Carter Vipindi 2
2005–2007 Flight 29 Down Nathan McHugh
2006–2007 Ned's Declassified School Survival Guide Spencer Vipindi 2
2006–2008 Hannah Montana Johnny Collins Vipindi 2
2009 Phineas and Ferb Sauti: Coltrane Vipindi 2
2009 The Beautiful Life: TBL Isaac
2010 The Good Wife Jay Hawke/ DJ Javier Berlin Kipindi 1
2012 Blue Bloods Officer Blake Kipindi 1
2013 Franklin and Bash Jordan Allen French Kipindi 1
2013 One Life to Live Jeffrey King
2013 Dancing with the Stars Mwenyewe
2014 Psych Luther Kipindi 1
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corbin Bleu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.