Nenda kwa yaliyomo

Comrade Alipioo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Orlando Alejandro Borda Casafranca (jina la kivita: Comrade Alipio; 11 Januari 196711 Agosti 2013) alikuwa kamanda wa Sendero Luminoso (Shining Path) na mmoja wa viongozi wakuu wa kundi hilo la kigaidi lililo na msimamo wa kibepari wa maoism na limehusika na mashambulizi mengi na vitendo vya ugaidi nchini Peru.[1][2]. Alikufa katika operesheni ya Jeshi la Peru huko Llochegua.

  1. "Peru says Shining Path number two killed in clash". France24. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 30 Oktoba 2013. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2013.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Peru captures Sendero Luminoso's No. 2 man: 'Comrade Alipio'". UPI. 12 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 30 Oktoba 2013.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Comrade Alipioo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.