Colima, Colima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu za Mji wa Colima, Colima



Jiji la Colima
Nchi Mexiko
Jimbo Colima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 132,273
Tovuti:  www.colima.gob.mx

Colima ndiyo mji mkuu katiko jimbo la Colima. Ni pia moja kati ya miji mikongwe ya Mexico. Mji upo m 305-550 kutoka juu ya usawa wa bahari. Colima ni mji upande wa mashariki ya jimbo.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 132,273 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 1,983.3 km².

Jina la mji lilitolewa kwa heshima ya Mfalme Colimá (kwa Kinahuatl: Colimotl).

Mji ulianzishwa mwaka 1523-1527.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Colima, Colima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.